MCHANGANUO WA HOSTEL
Kwa wanaotoka mbali kituo kimekodisha sehemu ambayo watakaa kipindi chote ambacho atafanya mazoezi na taasisi. Gharama ni laki moja kwa mwezi. Muhusika atannunuliwa vitu vifuatavyo:
1. GODORO
2. CHANDARUA
3. PAZIA
4. NDOO MBILI
5. CHAKULA
NB: KWEYE SWALA LA CHAKULA KWAKUWA BADO TAASISI HAIJAPATA MTU WA KUWAPIKIA VIJANA KUTOKANA NA CHANGAMOTO YA ULIPAJI WA PAMOJA KILA KIJANA ATAJITEGEMEA KUPITIA MALIPO ALIYOTOA. ATACHAGUA KUJIPIKIA MWENYEWE AU KULIPIWA BILI YA MWEZI KWENYE SEHEMU MAALUM YA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA.
Leave a Message