FOMU YA TARATIBU | JOINING INSTRUCTIONS
Hii ndio fomu ya kujiunga na Uluguru mountain sports Centre. Kwa maelezo zaidi tupigie 0*********6619 au 0685514851
Hii ndio fomu ya kujiunga na Uluguru mountain sports Centre. Kwa maelezo zaidi tupigie 0*********6619 au 0685514851
Kwa wanaotoka mbali kituo kimekodisha sehemu ambayo watakaa kipindi chote ambacho atafanya mazoezi na taasisi. Gharama ni laki moja kwa mwezi. Muhusika atannunuliwa vitu vifuatavyo: 1. GODORO 2. CHANDARUA 3. PAZIA 4. NDOO MBILI 5. CHAKULA NB: KWEYE SWALA LA CHAKULA KWAKUWA BADO TAASISI HAIJAPATA MTU WA KUWAPIKIA VIJANA KUTOKANA NA CHANGAMOTO YA ULIPAJI WA PAMOJA KILA KIJANA ATAJITEGEMEA KUPITIA MALIPO ALIYOTOA. ATACHAGUA KUJIPIKIA MWENYEWE AU KULIPIWA BILI YA MWEZI KWENYE SEHEMU MAALUM YA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA.
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support