Our Updates

FOMU YA TARATIBU | JOINING INSTRUCTIONS

By UMOSA


Sat, 09-Sep-2023, 19:04

Hii ndio fomu ya kujiunga na Uluguru mountain sports Centre. Kwa maelezo zaidi tupigie 0*********6619 au 0685514851

Continue reading

MCHANGANUO WA HOSTEL

By UMOSA


Sat, 09-Sep-2023, 19:26

Kwa wanaotoka mbali kituo kimekodisha sehemu ambayo watakaa kipindi chote ambacho atafanya mazoezi na taasisi. Gharama ni laki moja kwa mwezi. Muhusika atannunuliwa vitu vifuatavyo: 1. GODORO 2. CHANDARUA 3. PAZIA  4. NDOO MBILI 5. CHAKULA  NB: KWEYE SWALA LA CHAKULA KWAKUWA BADO TAASISI HAIJAPATA MTU WA KUWAPIKIA VIJANA KUTOKANA NA CHANGAMOTO YA ULIPAJI WA PAMOJA KILA KIJANA ATAJITEGEMEA KUPITIA MALIPO ALIYOTOA. ATACHAGUA KUJIPIKIA MWENYEWE AU KULIPIWA BILI YA MWEZI KWENYE SEHEMU MAALUM YA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA.

Continue reading

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;